Thursday, August 26, 2010

Najivunia kuwa Mkenya

Najivunia kuwa Mkenya
Kuienzi nchi yangu
Kipenzi cha moyo wangu
Hizi sio hekaya
Ila tafakari ya utu
Na Ukenya wangu

No comments: